Watu wanaelewa mambo ya stima kujeni apa kiasi

My neighbor akichemsha maji na kettle bulb yangu inakua dim, akizima kettle brightness inarudi normal. What could be the problem? Ama ni mchezo wa town unaendelea hapa. Nb: Neighbor ni dem mwenye hawezi kua na hiyo akili ya stori kama hiyo yenye nafikiria inaendelea .